Quantcast
English
Post your ad
7
Premium

Nauza Kiwanja Changu

10,000,000 TZS
Dar es Salaam

Details

TypeFor rent
Property typeHOUSE
Num. Rooms0
Num. Bathrooms0
Square Meters0
Square Meters (total)0
Num. Floors0
Floor Number0
Nauza Kiwanja changu ni squea mita 406. Kimepimwa kiserikali na kina hati miliki . Kipo ilala buyuni block 9 , Barabara ya kuelekea chanika, Watu wengi wamejenga,  umeme Upo tayali na nguzo ya umeme ipo karibu na Kiwanja Uduma zote za muhimu zipo, kama shule tayali zipo,na hospital zipo tayali zinafanya kazi , Kiwanja ndo hicho cha alama nyekundu katika ramani kipo kona ya barabara 2, na tayali kuna MSINGI wa nyumba 2 pamoja na TOFALI alfu moja, KINAUZWA MILIONI KUMI 10,000,000 TZ shiling PAMOJA NA MSINGI WAKE NA TOFALI cm 0753749246 Njo uone utapenda tu , barabara zipo za kutosha hakuna maji ,na zina changalawe na nipana za kupishana magari matatu , yani nisehemu yenye hadhi na wanaishi watu wenye hadhi , ukweli mji umejengeka vizuri na umepangiliwa vizuri, hata inyeshe mvua ya wiki nzima mfuririzo maji hayatuhami ,na wala huwezi ona madimbwi ya hovyo kwenye barabara hizo za mitaa

Contact seller

Nadhiru Hamidu Kajuna Individual 16 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map