Quantcast
English
Post your ad
Please Download our App
8
Premium

Maduka 9 na Nyumba, barabara kuu ya lami Kigamboni.

300,000,000 TZS
Dar es Salaam

Details

TypeFor sale
Property typeHOUSE
Num. Rooms15
Num. Bathrooms7
StatusTo renovate
Square Meters1980
Square Meters (total)1980
Num. Floors0
Floor Number0

Other characteristics

 • Terrace
 • Parking
 • New
 • By Owner
Kiwanja husika kimepimwa (mita za mraba 1,980) na kina hati safi. Panafaa kwa matumizi ya biashara (maduka, sheli n.k), makazi au biashara na makazi. Eneo ni Kigamboni Dege, mbele ya barabara kuu itokayo Ferry, kutazamana na mradi wa magorofa ya Dege Eco Village. Kwa mbele, barabarani kuna maduka makubwa tisa (na nusu) ambayo yote yana wapangaji muda wote. Maduka yana vyoo vyake viwili, hukohuko nje. Kwa ndani ya uzio, kuna nyumba mbili ndogo kila moja ina chumba cha master na sebule. Pia kuna chumba kingine kinajitegeme, nacho kina choo chake (master) na vyumbe vinne zaidi, vya kujitegemea pia. Kuna jiko la kutumia wote na stoo yake na pia kuna choo cha nje cha kuchangia ma swimming pool mbili, ya wakubwa na ya watoto. Kuna kisima kirefu chenye pampu, hivyo maji yanatoka mabombani muda wote. Umeme upo wa single phase (wa kawaida) na wa three phase (wa viwanda). Kuna miti mbalimbali ya matunda kama ndizi, maembe, mapera, mastafeli, mnazi n.k. Hili ni eneo langu mwenyewe, mimi sio dalali. Bei ni Shilingi milioni 300. Tuwasiliane 0716819729 kama unahitaji. Uwekezaji mwema.

Contact seller

Rama Kabelele Individual 3 active ads – View all

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map

  Premium osclass themes and plugins