Quantcast
English
Post your ad
8

Teeth Whitening Kit Full Box With All Accessories

Check with seller
Dar es Salaam | 10/03/2018
TEETH WHITENING KIT
Very effective teeth whitening kit
Inatakatisha meno nakuyafanya yawe meupe.
Njoo whatsapp kwa namba hii 0789383020 nikutumie video ujionee jinsi ilivyo amazing hii kitu


inaua bacteria wanaosababisha harufu mbaya mdomoni, Inaondoa layers of plaque inayokua inaganda juu ya meno na kuyasababisha yawe ya njano. ( mtanisamehe sijui inaitwaje kwa kiswahili)

Kwa wale ambao meno yao yana unjano sugu, wale ambao meno yao yameathirika kwa sigara, wale coffee addicts wenzangu mnajua coffee stain kwenye meno ni ngumu sana kuondoa, hii set itakusaidia uwe na bright smile, kwanini uone aibu yakutabasamu kisa meno hayana mvuto na yamebadilika rangi??? Manake kuna watu meno yapiga rangi ya njano mpaka anaona hata aibu kusmile. Sasa usiwe na wasi wasi suluhisho ndio hilo AT HOME TEETH WHITENING KIT ndio suluhisho la tatizo lako. Utaona matokeo makubwa kwanzia wiki ya kwanza tu,
SWALI NALOPATA MARA KWA MARA , JE NI SALAMA KUTUMIA KWA MENO ??? JE HAIDHURU MENO???? HAPA NINGEPENDA KUWAFAHAMISHA WOTE KUA HII NI THE SAME FORMULA AND TECHNOLOGY INAYOTUMIKA NA MADAKTARI WA MENO ( DENTISTS ) DUNIANI KOTE UKIENDA KUFANYA TEETH WHITENING KATIKA HOSPITAL ZA MENO. KWAIYO ONDOA SHAKA KABISA ITS SAFE AND DENTIST APPROVED ALL OVER THE WORLD. Imethibitishwa na kupitishwa na madaktari wa meno na inakuja ikiwa approved by dentists.
anaehitaji maelezo zaidi tafadhali usisite kuniuliza kupitia 0789383020

VITU VINAVOKUJA KWENYE KIT
Zipo kit aina mbili ya
45,000/- ( without desensitizing gel)
50,000/- ( desensitizing gel included)

KIT Kit hii inakuja na vitu vifuatavyo :-

4 PCS WHITENING GEL SYRINGE ( hii ndio dawa yenyewe yakutakatisha meno). Kwenye hii kit hakuna desensitizing gel lakin unaweza kuinunua kando. Check me for more info.

1 PCS UV MACHINE ( hii ninmachine inayosaidia dawa ifanye kazi yake kwa haraka ili upate matokeo mapema)

1 PAIR TEETH MOULD ( hizi ndio mould unazo vaa katika meno wakat unafanya treatment, angalia katika video niliopost)

1 CASE TEETH MOULD STORAGE CONTAINER ( kifaa chakuhifadhi mould zako za meno)

USER MANUAL ( kitabu cha maelekezo jinsi yakutumia kit yako)

TEETH SHADE GUIDE ( chart inayoonesha mabadiliko ya rangi ya meno yako kwanzia siku ya kwanza unayotumia, hii itakuwezesha kutrack maendeleo ya meno yako)

DESENSITIZING GEL SYRINGE ( hii ni dawa inayosaidia meno yako yasiwe sensitive au yasi react kwa whitening gel especially kama wewe ni mtu mwenye sensitive teeth inabidi utumie hii desensitizing gel)

Contact seller

Mobiles_and_gadgets_tz Company 16 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map