Quantcast
English
Post your ad
2

Mult Maca

72,000 TZS
Dar es Salaam | 14/06/2019
FOREVER MULTI MACA Inatokana na mmea uitwao maca, au Lepidium Meyenii kutoka nchi ya Peru wenye historia ya miaka zaidi ya 2000 kwa kuongeza stamina ya mwili. Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanawake wa Peru wanatumia maca kuanzia wakiwa na umri wa miaka 3 ili wawe na nguvu, hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kuzaa. Ina protein nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.

Faida:

· Aphrodiasiac activity – INAONGEZA HAMU YA MAPENZI KWA AKINA MAMA NA AKINA BABA KWA ASILIMIA ZAIDI YA 180, STAMINA NA NGUVU

· Inasaidia kuondoa depression-msongo wa mawazo.

· Inasadia kupunguza kasi ya kukua kwa tezi dume(enlargement of the prostrate).

· Inasaidia kuondoa madhara ya kukoma hedhi-menopause

· Inarutubisha mayai

· Inaongeza idadi ya mbegu za kiume(sperm count) kwa asilimia 200 , na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri(mobility)

· Ina balance kiwango cha chuma kwenye damu

· Inasaidia kupromote matumizi ya glucose kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.

· Ina L-Arginine: L-Arginine ni amino acid ambayo miili yetu inaibadilisha kuwa nitric oxide, ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na hivyo kuongeza mzunguko wa damu mwilini, kitendo kinachosaidia kuongeza nguvu za kiume. Kwa mawasilano zaid 0786657888

Contact seller

Bertha j Individual 8 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map