Quantcast
English
Post your ad
5
Premium

MAHARAGE MEKUNDU/NJANO KILO Sh. 1,800 Kilo

1,800 TZS
Pwani
Ninauza Maharage mapya toka Songea. Maharage yako Kibaha Picha ya Ndege. Hayajatobolewa. Nauza Kilo Sh 1,800/=, kuanzia Kilo 10. Tunakuletea bure popote Kibaha, Dar es Salaam na Bagamoyo

Maharage safi, yanaiva maji mara moja. Mama Lishe wanayapenda sana. Mnaweza kuchangishana. Mkifikisha elf 18,000 mnapewa kilo 10 mnagawana kubana matumizi.

Changanya maharage kwenye kande huleta afya zaidi . Kula maharage kwa mkate wa ngano isiyokobolewa, Chanyanganya maharage kwenye futari ... chaguo ni lako ...

Contact seller

Dennis Moyo Consultant Individual 3 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map