Quantcast
English
Post your ad
8
Premium

MAHARAGE BEI YA JUMLA Sh 1,800 Kilo

1,800 TZS
Pwani
Ninauza Maharage mapya toka Songea. Hayajatobolewa kuanzia Kilo 10. Kila Kilo Sh 1,800/=

Maharage safi, yanaiva maji mara moja. Yana virutubisho zaidi ya 20. Ni mbadala wa nyama nyekundu inayoleta madhara. Maharage yanapunguza Lehemu (cholesterol) hivyo kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo likiwemo shinikizo la damu.

Maharage huboresha afya ya ubongo na kumbukumbu. Epuka kuwa msahaulifu uzeeni anza kula maharage sasa. Maharage huongeza nguvu.

Maharage hung’arisha ngozi, ndio maana watoto wanayapenda sana maharage kuchanganya kwenye wali kuliko nyama.

Changanya maharage kwenye kande huleta afya zaidi . Kula maharage kwa mkate wa ngano isiyokobolewa, Chanyanganya maharage kwenye futari ...

Contact seller

Dennis Moyo Consultant Individual 3 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map