Quantcast
English
Post your ad
3

Used multipurpose seat trainer

40,000 TZS
Dar es Salaam | 01/02/2019
Seat trainer ambayo inatumika kwa matumizi mengi
- unaeza itumia kama kitu cha kumfundishia mtoto kukaa kuanzia umri wa miezi mitatu na kuendelea
-unaeza kuunganisha na kiti cha dinning kikawa kama kiti cha kulishia mtoto
-kinakameza ambacho unaeza kukiadjust pia unaeza kukitoa mtoto akakalia kama kiti cha kawaida
-kuna mikanda ya kumzuia mtoto asianguke pia kinamikanda ya kuunganishia kwenye kiti kikubwa
-kimetumika kidogo kipo kwenye hali safi
-ukikipenda nitafute kwa mawasiliano ya whatsapp number 0717118437
-kipo tabata kimanga

Contact seller

Esther Individual 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map