Punguzo kwa wauzaji mtandao wa Kupatana
Punguzo kwa wauzaji mtandao wa Kupatana kipindi cha Corona.
Kampuni maarufu ya Kupatana inayokutanisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa mtandaoni, imeamua kuunga mkono juhudi za serikali kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona nchini.
Hili limekuja baada ya serikali kuchukua...