PRINTING GRAPHICS & WEBSITE DESIGN NEEDED
Check with seller
Dar es Salaam
| 15/11/2020
Natafuta Kijana mwenye ujuzi wa kutumia Computer, kwenye maeneo yafuatayo kwanza, Awe anajua Graphics Design/ Web design, mwenye uzoefu wa miaka 2, awe na uweo wa kutumia, Adobe Packages, Photoshop, Illustrator, After Effects etc, Website awe na uwezo wa kutumia Wordpress, Laravel, Php,Squarespace, Magento etc. Awe mwenye nidhamu, na uwezo wa kufanya ufuatiliaji wa kazi za wateja kwa wakati, HATUHITAJI VYETI.
TUNAAMINI KATIKA KAZI YAKO NDIYO ITAKAYO ZUNGUMZA
Kwa maelezo zaidi piga 0712201757 whatsapp au 0783660045 CALL
TUNAAMINI KATIKA KAZI YAKO NDIYO ITAKAYO ZUNGUMZA
Kwa maelezo zaidi piga 0712201757 whatsapp au 0783660045 CALL