Computer Application Job
200,000 TZS
Dodoma
| 24/11/2020
Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 26 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer applicationMwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote ya computer. Mshahara Tsh 200,000 kwa mwezi Awe anatokea Dodoma au awe anaweza kuishi DodomaKwa ajili ya kazi tuma CV yako kwa email: [email protected] Mwisho wa kutuma maombi ni 28/11/2020