Quantcast
English
Post your ad
Premium

Natafuta waigizaji Tabora

Check with seller
Dar es Salaam
Waigizaji wa filamu, tamthilia na maigizo ya redioni. Kigezo kikubwa ni:
Kujiamini
Dhamira ya dhati
Kutokuwa na kiburi, ujuaji mwingi
Kuweza kwenda na muda
Mwenye ndoto za kufika mbali.
Awe mkoa wa Tabora (Tabora mjini)
Awe anajua kusoma na kuandika

Zipo project za kutengeneza filamu na maigizo ya redioni kuanzia mwezi wa 12 mwaka huu.

Ili kujisajili, piga simu au whatsapp 0763841148.
Pia unaweza kufika ofisini/ studio ya The Brown Production mtaa wa msikiti wa Manyema karibu na A.A.Kahttan kuanzia jumamosi tarehe 20/10/2018 hadi tarehe 20/11/2018.
Karibu

Contact seller

Lhey Individual 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map