2
Solar SUNKING
20,000 TZS
Dar es Salaam
| 24/11/2020
Jipatie Solar kwa bei nafuu kabisa Sh 20000 tu kianzio Solar ni yaa Taa 3 zinazowaka masaa 24 ina Betri,Paneli,Chaja za simu, pia ina warranty ya miaka 2Kama itakua na tatizo utabadilishiwa kifaa bure