Quantcast
English
Post your ad
7

Cake Maker Makes Cake Within 10 - 12 Minutes.

Check with seller
Dar es Salaam | 02/08/2017
Tunafanya delivery kote hata mikoani unaletewa mpaka ulipo na malipo utalipa wakati wakupokea mzigo wako. Huna haja yakutuma pesa kwanza. Gharama za utumaji zinatofautiana kulingana na mkoa. Kwa wakazi wa dar pia delivery tunafanya. Tembelea page yetu ya instagram @mobiles_and_gadgets_tz ujionee vitu vizuri na ushop kwa amani kabisa. Njoo whatsapp kwa namba hii 0789383020 nikutumie video uangalie jinsi hiki kifaa kinavofanya kazi.

SAACHI BUNDT CAKE MAKER

Hii ni mashine inayotengeneza keki kwa muda mchache sana. ??Inatumia dakika 10 hadi 12 tu na keki yako tayar. Video nitapost soon inayoonesha . ??Na MUHIMU ZAIDI hata kama ww sio mtaalamu wa keki, kwa mashine hii hutobahatisha, keki yako itatoka murua maana inatumia technology ya auto temperature control. ??Inaivisha keki hata kama unga wako ni mwepesi, hata kama mzito sana, inapika kila aina ya keki, kwanzia basic cakes, red velvet, choclate cake, fudge cake, etc. Na unapata recipe 2 katika kitabu chake. ??Sio yakukosa. St

Njoo whatsapp kwa namba hii 0789383020 nikutumie video zaidi yenye maelekezo na.demonstration ya jinsi inavotumika

Contact 0789383020

Hii mashine ni kiboko ya yote. Yaan humu hubahatishi keki. Angalia ktk hii video trailer ungwa wenye uzito size umeiva vzri na unga mwepes kabisa ( ile ya chocolate) pia Imetoka vzri. Yaan hata mtt wa darasa la tatu anatoa cake bila shaka na ndani ya dk 10 hadi 12 tu. Unlike oven lazma usubirie atkeast dk 45. Hii kiboko. Katika hii mashine huna.wasi wasi waku unguza wala kubakiza cake mbichi kati. Na most of all inasave umeme. Team budget luku mpo.
Full video zenye instructions na.jinsi yakutumia zinakuja. Kaeni tu mkao wakula
Tunaita #bakelikeapro
#homechef #betheheroofyourhome

Contact seller

Mobiles_and_gadgets_tz Company 90 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map