Quantcast
English
Post your ad
8

10 in 1 Steam Cleaner Full Tool For Every Home as seen on tv

Check with seller
Dar es Salaam | 14/07/2017
STEAM CLEANER X10

Tunafanya delivery kote hata mikoani unaletewa mpaka ulipo na malipo utalipa wakati wakupokea mzigo wako. Huna haja yakutuma pesa kwanza. Gharama za utumaji zinatofautiana kulingana na mkoa. Kwa wakazi wa dar pia delivery tunafanya. Tembelea page yetu ya instagram @mobiles_and_gadgets_tz ujionee vitu vizuri na ushop kwa amani kabisa. Njoo whatsapp kwa namba hii 0789383020 nikutumie video uangalie jinsi hiki kifaa kinavofanya kazi.

Hii ni full tool steam cleaner ambayo inafanya kazi zaidi ya 10 . Ni 10 in 1 steam cleaner and sanitizer kwa vile inasafisha pamoja na kuua vijidudu mbali mbali vinavyo sababisha maradhi mbali mbali. Kazi zake kama ifuatavyo. Muhimu usome point zifuatazo ili kuweza kuielewa hii gadget kwa undani zaidi. Ni cheki whatsapp nikutumie video uone junsi hii mashine inavofanya kazi utapenda mwenyewe

?Inasafisha floor aina zote kama tiles, cement floor, marble floor hadi floor za mbao kwa usalama kabisa. ( pia ina polish hizi floors )

?Inaweza kutumika kama stemer ya nguo ( kunyoosha nguo ikiwa imetundikwa kwenye hanger) pia inasafisha nguo zenye vito vito ama mapambo ambazo lazma ziende dry cleaner. Ukiwa na hii kitu ni dry cleaner tosha. Huna haja yakupeleka nguo zako dry cleaner.

?Kutokana na ufanisi wake wakusafisha kwa kutumia mvuke mkali inauwa bacteria na vijidudu vinavosababisha maradhi mbali mbali. Kama una watoto wadogo wanaotambaa hii inawahusu. Mtoto hata akishika chini na kuweka mkono mdomoni huna wasi wasi.

?Inanyoosha na kusafisha mapazia , mashuka, sofa za aina yote za vitambaa pamoja na za leather.

?Inaondoa uchafu sugu kati kati ya grout za kwenye tiles ambazo lazma utumie chemical kali ili kuzisafisha. Ukiwa na hii kitu , huna haja yakutumia kemikali kali kufanya usafi wa tiles zako.

?Inasafisha madirisha ya vioo, grill za madirisha na maget, nakuyaacha yaking'aa vizuri sana.

?Inasafisha na kuondoa madoa katika zulia aina yoyote, Naam hadi mazulia unasafishia ( inakuja na attachment yakukuwezesha kufanya hivo).

?Inatumika kuondoa uchafu sugu katika macooker, oven, masinki ya jikoni, na sehem zote za jiko zenye uchafu sugu.

?Inasafisha sink ba basins za choo pamoja na kuuwa wadudu hadi wa salmonella wanaosababisha magonjwa kama typhoid ( hii iko proven by scientific test) .

?Inasafisha seats za ndani ya gari na vioo vyake kwa kuviacha viking'aa vizuri kabisa.

Contact 0789383020

Contact seller

Mobiles_and_gadgets_tz Company 97 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map