Quantcast
English
Post your ad

Nauza rozela/choya

2,500 TZS
Dar es Salaam | 21/06/2019
KING'S ROZELA
Faida za rozela
-Hutibu shinikizo la damu.
-Inapunguza mgandamizo wa damu mwilini.
-Kuzuia kansa.
-Kuzuia magonjwa ya Ini(haswa kwa wanywaji wa pombe).
-Inaongeza damu mwilini.
-Inaimarisha chembe hai nyekundu za damu mwilini.
-Inaongeza vitamins C (thiamin, riboflavine,na niacin).
-Inaongeza Madini muhimu mwilini (calcium, phosphorus, na Madini ya chumvi)
-Inaondoa uchovu.
-Mafua
-Inaondoa Gesi tumboni.
Maandalizi:
-Chemsha maji ya moto, Epua kisha weka rozela yako funika.
-ikishapoa itakuwa tayari kwa kunywa. Kama unapenda utaweka sukari kiasi ili iwe na ladha nzuri.
NB:sukari si lazima.
Pakiti gram100

Contact seller

SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map