Quantcast
English
Post your ad
8

Sofa Za Ngozi Na Vitambaa 10yrs Warranty

Check with seller
Dar es Salaam | 31/01/2019
Tunahusika na utengenezaj na uuzaji wa sofa Aina zote za maofisini na majumbani tunauza kwa Jumla na Reja Reja.

Tunapatikana kinondoni Morocco nyuma ya Vodacom headquarter unaweza kufika kujionea

Sofa zipo za ngozi na vitambaa imara tunatoa warranty wa miaka 10 na ikitokea Kuna shida tutafanya repairing buree popote pale Tz

1/Recliner Sofa zipo pure leather ina Spring imara ndani
2/U Shape Sofa kitambaa kigumu Ina spring ndani
3/ L Shape pure leather na kitambaa kigumu zipo pia zina spring ndani
4/ Sofa za ngozi zipo
5/ Arabic Sofa pia zipo

#0715523866 Nipigie/whatsap kwa picha zaidi na Bei zetu zinaongeleka

Contact seller

Individual 23 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map