Quantcast
English
Post your ad
2

Sofa kali zenye design ya kisasa

550,000 TZS
Dar es Salaam | 08/04/2020
sofa ziko kwenye hali nzuri sana, hazina mgongo wa kulala unao tumia nafasi kubwa ndani ya nyumba/chumba, hizi zinatumia nafasi ndogo sana, unaweza kuweka kama "l" au ukaziweka kawaida. kitambaa bado kipo safi kabisa pamoja na mito/gogoro zake bado iko imara sana. pia zina spring zinazokufanya ufurahie kila unapokalia bila ya kupata maumivu yoyoyote yale.

Contact seller

Jonathan Msuya Individual 6 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map