Quantcast
English
Post your ad
8

*Offer* NET ZA KISASA. 50,000/=Tshs.

50,000 TZS
Dar es Salaam | 14/04/2018
:-Tunapatikana kariakoo Aggrey/Street.
:-Pia tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa ibakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama na ya Uhakika zaidi.


:-Pia tunafanya FREE DELIVERY kwa wateja walioko ndani ya DAR_ES_SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo/Nyumbani ili kukuondolea usumbufu.NET hizi za kisasa ziko size zote na aina zote.
-NET ya pembe nne. 50,000/=Tshs.
-NET ya mgongo. 80,000/=Tshs.
-NET ya stend mbili. 150,000/=Tshs.
-NET // // mbili ya reri. 180,000/=Tshs.
-NET ya Celling. 220,000/=Tshs.
-NET ya kamba. 280,000/=Tshs.


Badilisha madhari ya kitanda pamoja na chumba chako kwa ujumla kwa kutumia net nzuuri za kisasa na bomba zake ni nene sana.


Kwa mawasiliano zaidi

Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 107 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map