Quantcast
English
Post your ad
8

NET ZA RELI. 180,000/=Tshs.

180,000 TZS
Dar es Salaam | 06/03/2019
●Badilisha muonekano wa chumba chako/kitanda kua katika hali nzuri na yakuvutia kwa kutumia NET nzuri za kisasa zidi ya kujikinga na malaria. Na NET hizi zinapatikana size zote na rangi zote pia zipo.


●Pia NET hizi ni nzuri sana hazitoboi wala kuharibu ukuta wako hua stend za vyuma vyake hufungwa kwenye kitanda na inakua rahisi ata kufanya "Exchange possition."


●NET hizi ziko aina mbali mbali tofauti kama ifuatavyo.
:-NET za pembe nne 53,000/=Tshs.
:-NET za mgongo 80,000/=Tshs.
:-NET za stand mbili 150,000/=Tshs.
:-NET za reli 180,000/=Tshs.
:-NET za kuvuta kwa kamba 300,000/=Tshs.
:-NET za juu kwenye Ceilling 250,000/=Tshs.


●Pia tunafanya FRER DELIVERY kwa wateja walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unatetewa bidhaa mpaka ulipo/nyumbani BUREEE...!!! Pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu wa apa pale.


●Kwa wateja wetu wa mikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama naya uhakika zaidi.


●Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:-
Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 57 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map