Quantcast
English
Post your ad
7

NET ZA RELI. 180,000/=Tshs.

180,000 TZS
Dar es Salaam | 06/01/2019
Badilisha muonekano wa kitanda chako au chumba chako kwa kutumia NET nzuri za kisasa ambazo hazialibu waka kutoboa ukuta wako pia inakua rahisi sana ku Exchange possition ya kitanda chako.


NET hizi za reli zinamuonekano mzuri sana na zina mchuma manene sana(still) pia ziko aina mbali mbali tofauti.
NET za pembe nne 53,000/=Tshs
NET za mgongo 80,000/=Tshs
NET za stand mbili 150,000/=Tshs
NET za reli 180,000/=Tshs
NET za Ceilling 250,000/=Tshs
NET za kuvuta kwa kamba 300,000/=Tshs


Pia tunafanya FREE DELIVERY kwa aateja walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo BUREEE...!!!pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu wa apa na pele na ghalama zote za ufundi ni juu yetu.


kwa wateja wetu wa mikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama na ya uhakika zaidi.


Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:-
Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 84 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map