Quantcast
English
Post your ad
3

NET ZA RELI. 180,000/=Tshs

180,000 TZS
Dar es Salaam | 14/09/2018
Jipatie NET bora za kisasa na ni nzuri kwa matumizi ya kila siku nyumbani kwako pale mahari unapo lala. Pia net hizi zinamuonekano kama zinatoboa ukuta lakini hapana hazitoboi ukuta walakualibu ukuta wako net hizi hufungwa kule kichwani kwa kitanda ambapo stand zake husimamia kule kichwani hata ukitaka kybadilisha possition ya kitanda inakua ni rahisi kuhamisha hamisha.NET hizi za Reli ni nzuri sana. Pia ziko net aina nyingine mbali mbali kama ifuatavyo.
NET za pembe nne. 53,000/=Tshs.
NET za mgongo. 80,000/=Tshs.
NET za stand mbili. 150,000/=Tshs.
NET za reli. 180,000/=Tshs.
NET za Ceilling. 250,000/=Tshs.
NET za kutumia kamba. 300,0000/=Tshs.


Pia naweza nikakakutumia WhtsApp ili ukaona vzr ukatoa oder yako.


Pia tunafanya FREE DELIVERY kwa wateja walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo/Nyumbani BUREEEE...!!! ili kukuepushia usumbufu.


Kwa wateja wamikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama na ya uhakika zaidi.


Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:-
Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 101 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map