Quantcast
English
Post your ad
8

NET ZA KISASA. 53,000/=Tshs.

53,000 TZS
Dar es Salaam | 07/02/2020
●jipatie net nzuri za kisasa kwa kujikinga na m'mbu dhidi ya ugonjaa wa maralia kila siku unapolala wewe na familia yako hapo nyumbani kwa kutumia chandarua bora na imara. ●net hizi za kisasa ziko aina mbali mbali tofauti. ▪net za pembe nne 53,000/=tshs. ▪net za mgongo 80,000/=tshs. ▪net za stand mbili 150,000/=tshs. ▪net za reli 180,000/=tshs. ▪net za juu kwenye ceilling 250,000/=tshs. ▪net za kuvuta kwa kamba 300,000/=tshs. ●pia tunafanya free deliver kwa wateja wetu walioko ndani ya dar es salaam yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo/nyumbani bureee...!!! pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu na kuokoa muda wako. ●kwa wateka wetu wa mikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote tanzania kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama naya uhakika zaidi. ●kwa mawasiliano zaidi piga simu no_0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 21 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map