Quantcast
English
Post your ad
8
Premium

NET ZA KISASA 53,000/=Tshs

53,000 TZS
Dar es Salaam
Basilisha muonenen wa kitanda au chumba chako kuwa katika hari nzuri naya pukepndeza kwa kutumia NET nzuri za kisasa kwa kujikinga na M'mbu dhidi ya maralia kila siku unapo lala wewe na familia yako hapo nyumbani. ●NET hizi za kisasa ziko size zote na rangi zote pia zipo. Pia ziko aina mbami mbali na bei tofauti tofatuti kama ifutatavyo. *NET za pambe nne 53,000/=Tshs. *NET za hema 35,000/=Tshs. *NET za mgongo 80,000/=Tshs. *NET za stand mbili 150,000/=Tshs. *NET za reli 180,000/=Tshs. *KING SIZE NET 65,000/=Tshs. ●Pia tunafanya FRRE DELIVERY kwa wateja wetu walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo BUREEE...!!! Pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu na kuokoa muda wako. ●Kwa wateja wetu wa mikoani hua tunatuma bidbaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama naya uhakika zaidi. ●Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu no_Call/Text/WhtsApp_0654003282.

Contact seller

Mr Jay Individual 39 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map