Quantcast
English
Post your ad
8

NET ZA KISASA. 53,000/=Tshs.

53,000 TZS
Dar es Salaam | 10/10/2018
Jipatie NET nzuri za kisasa kwa kujikinga na malaria pale unapo lala wewe na familia yako. pia NET hizi ni nzuri sana hubadilisha muonekano wa kitanda/Chumba chako kua katika hari nzuri na ya kuvutia.


Pia NET hizi ziko size zote 5'6, 6'6, 6'7, hadi king size pia zipo. pai NET hizi ziko aina mbali mbali tofauti tofauti.
NET ya pembe nne(4). 53,000/=Tshs.
NET ya mgongo. 80,000/=Tshs.
NET ya stand mbili. 150,000/=Tshs.
NET ya Reli. 180,000/=Tshs.


Na pia unaweza ukatuma sms WhtsApp tukakutumia aina ya NET na bei yake ukachagua unayoipenda ukaweka Odder yako.


Pia tunafanya FREE DELIVERY kwa wateja walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unaketewa bidhaa mpaka ulipo BUREEEE...!!! pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu.


Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:-
Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 90 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map