Quantcast
English
Post your ad
8

NET ZA KISASA. 53,000/=Tshs

53,000 TZS
Dar es Salaam | 12/06/2018
●Jipatie net za kisasa kwa matumizi yako ya kila simu kwa kujikinga na m'mbu pindi unapo lala pia NET hizi ni nzuri sana zinabadilisha muonekano wa kitanda na chumba kua katika mndhari mazuri na ya kuvutia

●NET hizi za kisasa ziko aina tofauti tofauti kama ifuatavyo:-
NET ya pembe nne(4). 53,000/=Tshs.
NET ya mgongo. 80,000/=Tshs.
NET ya stand mbili. 150,000/=Tshs.
NET ya stan mbili ya reri. 180,000/=Tshs.
NET ya Ceiling. 250,000/=Tshs.
NET ya kutumia kamba. 300,000/Tshs.

●Pia tunatoa huduma ya FREE DWLIVERY kwa wateja walioko ndani ya DAR_ES_SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo BUREEE....!!! Pamoja na kufungiwa pia ni FREE ili kukuepushia usumbufu.●Kwa wateja wamikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwanjia salama na ya uhakika zaidi.●Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:-
Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 106 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map