Quantcast
English
Post your ad
2

Kiwanja kinauzwa kipo chanika

1,000,000 TZS
Dar es Salaam | 07/11/2018


1.KIWANJA KINAUZWA:
kiwanja kipo dar es salaam chanika kidagaro , kina ukubwa wa M14*5*10.40*13.50.
bei yake ni 1,000,000 tsh,
piga 0655958126 kama unahitaji.

2.MEZA YA SOFA INA UZWA:

meza inaviti viwili na inasiku5
tangu inunuliwe bei yake ni 200,000. npo dar es salaam buguruni ,punguzo lipo piga 0655958126 kama unahitaji.


3.NATAFUTA KAZI YA HOTEL:
NATAFUTA Kazi hotelini, ni msichana mwenye miaka 22, naishi dar es salaam buguruni.

Kazi ya part time,usafi,kuhudumia,kupika n.k.
matumaini yangu ni kupokea 300,000 mwisho Wa mwezi.
lakini makubaliano ndio muhimu. piga 0655958126 ilituelewane.

4.NINA PIGA WINDOW KWENYE: COMPUTER NA KU WEKA PROGRAM ZOTE, KWA TSH 10,000

NINA KUFUATA POPOTE ULIPO,
KWA WALE WA NJE YA DAR IWE NI KAMPUNI YENYE KAZI KUBWA,

KAMA VILE UNT VIRUS,MICROSOFT OFFICE ,WORD, EXCELL, NA KUWEKA KWENYE COMPUTER FACE BOOK,WHATSAPP, YOUTUBE,INSTAGRAM N.K

NA PROGRAM ZOTE KWE COMPUTER.
KWA TSH 10,000. PIGA 0652856974 KUPATA HUDUMA

Contact seller

innocent Individual 5 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map