Quantcast
English
Post your ad
6

KABATI ZA KUHIFADHIA NGUO. 65,000/=Tshs.

65,000 TZS
Dar es Salaam | 12/06/2019
●Jipatie kabati bora za kisasa kwa kuhifadhia nguo zako na wewe na familia yako kwa ujumla hapo nyumbani. Kabati hizi ni kubwa sana na zinahifadhi nguo nyiingi sana pia ziko za milango mitatu(3) 65,000/=Tshs na ziko za milango miwili(2) 55,000/=Tshs. ●Pia tunafanya FREE DELIVERY kwa wateja wetu walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo BUREEE...!!!pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu wa apa na pale na kuokoa muda wako. ●Kwa wateja wetu wa mikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama naya uhakika zaidi. ●Kwa mawasiliano zaidi piga simu no:-Call/Text/WhtsApp_0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 30 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map