Quantcast
English
Post your ad
5

Dining Table Viti 4. 460,000/=Tshs.

460,000 TZS
Dar es Salaam | 03/01/2019
Badilisha muonekano wa Dining Room yako kwa kutumia DINING TABLE nzuri za kisasa wakato wa kula chakula wewe na familia yako hapo nyumbani.


Dining Table hizi ziko Set ya viti sita(6) 520,000/=Tshs pia ziko Set ya viti vinne(4) 460,000/=Tshs.


Pia tunafanya FREE DWLIVERY kwa wateja walioko ndani ya DAR ES SALAAM yani unaletewa bidhaa mpaka ulipo BUREEE....!!! pamoja na kufungiwa pia ili kukuepushia usumbufu wa apa na pale na ghalama zote za ufundi ni juu yetu.


Kwa wateja wetu wa mikoani hua tunatuma bidhaa mikoa yote TANZANIA kwa ghalama nafuu sana na bidhaa inakufikia mpaka mkoa uliopo kwa njia salama na ya uhakika zaidi.


Kwa mawasiliano zaidi piga simu no;-
Call/Text/WhtsApp
0654003282

Contact seller

Mr Jay Individual 84 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map