3
Premium
Mabati Ya Rangi
24,000 TZS
Dar es Salaam
Tunauza mabati ya rangi(msauzi) na mabati original kwa gauge 30 na gauge 28 , mabati yanadumu muda mrefu bila kutu wala kupauka (warranty 10 years).TUNATOA OFA YA USAFIRI BURE NA YANAWAFIKIA WATEJA ZETU MIKOA YOTE TANZANIA(kofia na misumari utazawadiwa kulingana na idadi ya bati)