Quantcast
English
Post your ad
8

Mashine Za Kufulia Nguo

480,000 TZS
Dar es Salaam | 27/05/2019
Contact 0656778899/0787109010/0765444577
Bei 480000 kg 7
Bei 580000 kg 10
Je: Unapataje tabu ya kufua kwa mikono nguo za mtoto wako mpendwa mwenye ndoto za kua mchezaji bora Duniani hali ya kua una kazi nyingine mkononi ya kupika sasa mkombozi wako amerejea na mashine ya kufulia Nguo
Kwa mahitaji ya Washing Mashine mpyaa za bei nafuu zaidi na discount ya kutosha  wasiliana nasi 0656778899/0787109010
Kilo 7 na kilo 10 bei rahisi kabisa 480000 na 580000

Washing Mashine zetu ni original, Zina warranty ya miaka miwili,
Zina fua na kukausha vizuri,
Zinatumia umeme mdogo sana ni energy server,
Zinangarisha vizuri na zinatumia sabuni kidogo sana.
Zina uwezo wa kufanya kazi kwa muda wa masaa 24 bila kupumzika,
Zinafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara na mashuleni na kwenye makambi.
Zipo kuanzia Tsh.480,000 kilo saba, 580,000 kilo kumi,
ZIPO MANUAL NA AUTOMATIc.
TUNAPATIKANA MAGOMENI MIKUMI LANGO LA JIJI,
PIA TUNA WAJALI WATEJA WETU TUNAKULETEA MPAKA NYUMBANI KWAKO KWA BEI ILE ILE  FREE DELIVERED.
NA WATEJA WETU WA MIKOANI HATUJA WASAHAU TUNAWATUMIA MKOA WOWOTE ULE KWA BEI ILE ILE YA DAR.

CONTACT. 0656778899/0787109010
ZOTE ZIPO WHATSAPP

    KARIBUNI SANA.

Contact seller

Ahmed sanani Individual 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map