Quantcast
English
Post your ad
3
Premium

Friji za Kisasa zenye Warranty 2yr kwa Bei Nafuu zaidi

Check with seller
Dar es Salaam
Jipatie friji mpyaaa na warranty ya Kuanzia miaka 2 hadi mitano na pia tunakuletea hadi ulipo bureee.

Wasiliana nasi 0712398778

Friji zetu zina sifa zifuatazo
Zinatumia umeme kidogo(energy saver)
Hazigandishi mabarafu pembeni(non frost)
Haipigi kelele (low noise)
Unapata fridge guid ya buree
Power full compresor
Zinauzo kutunza ubaridi hadi masaa 12

Utapewa Stand ya friji buree

Tupo magomeni mikumi karibu na lango la jiji
Kwa dar unalipia baada ya kufikishiwa mzigo wako . Kwa wale walioko mikowani tuna njia tatu 3. Kama una rafiki dar au ndugu mpe namba yangu aje ofsini kwa usibitisho 1)

2) utafanya malipo baada ya kuku hakikishia
wakati yupo ofsini . na sisi tutautuma mzigo wako baada ya malipo kufanyika ofsini.

3)Kama una weza kutuamini ukatuma pesa
sisi tuna kwenda kutuma mzigo kwa uamini
fu sana mm nimfanya biashara siwezi kwenda kinyume na maelezo yangu.

4) Pia km una mtu unamuamini anae husika na kuendesha gar dreva au konda unaweza kuwasiliana nae ukanipa namba yake iliniweze kumpelekea pale alipo (tukabidhiane


Tunatuma mikoa yote tanzania kwa uaminifu mkubwaa.

Karibuni sanaaa..

No ya whatsapp (0653-446688)
No call (0712-398778)

Contact seller

Said Online Company 1 active ad – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map