Quantcast
English
Post your ad
Premium

BIMA YA KUWEKEZA na Jubilee Insurance

105,000 TZS
Dar es Salaam
Habari..!! Nakukaribisha kujiunga na Fanaka Plan katika kampuni yetu ya JUBILEE LIFE INSURANCE (T) LTD
-Fanaka plan ni bima ya kuwekeza kwa ajili ya kutimiaza malengo yako ya miaka michache ijayo (minimum miaka 5)

-mfano, baada ya miaka mitano ijayo unataka ununue gari ya Milioni 10, kila mwezi utawekeza Tshs. 160,000 (laki moja na sitini) baada ya miaka mitano utatimiza utatimiza ulichokipanga plus BONUS.

Unaruhusiwa kuwekeza kiasi chochote minimum 105,000 kila mwezi kulingana na matakwa yako mteja

Tuna bima nyingine kama vile bima ya Elimu na nyingne nyingi

Kwa maelezo zaidi waweza kufika officin kwetu makao makuu POSTA MPYA OHIO STREET jengo la AMANI PLACE opposite na Serena flour ya 9
Au nipigie 0659808185 kwa maelezo zaidi
Karibu Nyote.

Contact seller

insurance Individual 12 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map