Quantcast
English
Post your ad
3
Premium

MIC NA VIFAA VYA STUDIO

180,000 TZS
Dar es Salaam
Jipatie mic za kijanja kwa bei nafuu kabisa kwa mahitaji yote ya kazi za Voice input ikiwemo shughuli za studio.

Mic zilizopo ni

*Q920 condensor microphone*
Hii ni mic inayopatikana kwa bei nafuu lakini kazi yake haitokuangusha.
Mic hii inakuja na
Pop filter
Waya wake Xlr
Stand yake ndogo ya mezani
Na mount shock

*Bei yake ni Laki na 80*
Haihitaji Phantom wala mixing power.

Mic ya pili ni *BM 900-c*
Hii ni mic yenye uwezo mkubwa sana hasa kaa kazi za studio.
Large Diaphragm with a coil
Mic hii inakuja full set mpaka mkono wake
Ndani ya Box kuna

Pop filter
Waya wa mic xlr
Scissor arm
Table base clamp
Mount shock
Na external sound card kama zawadi
*Bei yake ni 250,000*

Mic hii haihitaji phantom power. Inafanya kazi kwenye computer Camera laptop sim NK.*Tofauti na Mic tuna Stand ambayo inashika sim na mic kwa wakati mmoja. Hii inakusaidi kushoot na kwa kutumia sim au kutumia sin yako kama Prompter.
Hii ni shilingi 40,000

Piga sim namba 0786371108 sasa ili uweze kusaidika kwa haraka

Contact seller

FELIX JUSTINE Individual 34 active ads – View all
SMS Call

When you call a seller, let them know you saw the ad on Kupatana!

No phone number found

Email seller

  Safety Guidelines
  Kupatana.com never has anything to do with the transaction. If anyone claims to sell from Kupatana, it is fraud and should be reported
  Never pay in advance or give someone you haven't met your bank account.
  Research on the market value and see the product before you buy it.
  If possible, meet in person and make the transaction.
  Be aware of ads with broken English and ads that seem to good to be true.

  Show on map